Mgombea UVCCM Arusha atuhumiwa kuwa Chadema
MPASUKO ndani ya CCM Mkoa wa Arusha umechukua sura mpya baada ya Kamati
ya Siasa kumsimamisha Mwenyekiti wa UVCCM, Wilaya ya Arumeru, Boniface
Laizer akidaiwa kuwa na uhusiano wa karibu na Chadema.
Laizer
ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha
katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Jumatano wiki hii, anadaiwa kuwa
mfuasi wa kambi ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa.

No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people