Saturday, November 17, 2012

Keri Hilson kutua bongo mwezi ujao



Tanzania mko tayari kumshuhudia hit-maker wa Knock You Down mrembo Keri Hilson? Kama bado basi mashabiki wake anzeni kuuchanga mdogo mdogo sababu the diva is dropping to the land of Kilimanjaro next month!! We ain’t tripping at all sababu Keri amethibitisha mwenyewe jana habari hizi kwenye ukurasa wake wa Twitter:

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people