Sunday, November 4, 2012

Traffic polisi wampiga mwanajeshi wa JWTZ Moshi


Katika hali isyokuwa ya kawaida traffic wa kituo cha mabasi mjini Moshi walimpiga askari wa JWTZ baada ya kutokea kutoelewana baina yao na maaskari hao. Inasemekana mwanajeshi huyo alikuwa akijibizana na askari hao huku akimtetea dereva wa Hiace ambaye alifanya makosa barabarani

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people