Hatuna pa kwenda
Wanafamilia
ya Aristides Ishebabi wa eneo la Sinza E Dar es Salaam wakilinda
vyombo vyao nje ya nyumba walikokuwa wakiishi baada kampuni ya udalali
kuwatoa kwenye nyumba hiyo kwa madai kuwa imeuzwa kwa mmoja wa
wafanyabishara huku kesi ikiwa Mahakama Kuu Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people