Huyu ndiye kiongozi wa Bakwata aliyejeruhiwa kwa Bomu Arusha
Katibu wa
bakwata Mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarimu Jonjo akiugulia maumivu katika
wodi ya majeruhi ,katika hospitali ya mkoa mount Meru baada ya
kulipuliwa na bomu la kutupwa na mkono akiwa amelala usingizini nyumbani
kwake na watu wasiofahamika majira ya saa 6.30 usiku wa kuamkia leo.
Picha na Josefu Ngilisho.
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people