Hizi ni picha toka kwenye mtandao wa Jamii Forum zikiwa na
maelezo: MAJONZI, HUZUNI, NA SIMANZI ZIMETAWALA LEO MAENEO YA KIJENGE
JUU KATA YA KIMANDOLU ILIYOKO MKOANI ARUSHA BAADA YA KITOTO KICHANGA
KUKUTWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVESI. Hakuna maelezo kuwa kichanga
hicho kinekutwa hai kwakuwa mtu aliyeweka picha ametumia maneno kama
‘mwili’ wa mtoto huyo kumaanisha kuwa hakuwa hai. Tahadhari kuna picha
mbaya.
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people