Saturday, October 20, 2012

Kiongozi wa Uamsho apatikana



  Kwenye ukurasa wa uamsho wamesema Kiongozi huyo amepatikana hai usiku wa kuamkia leo.kabla uamsho waliipa serikali masaa 26 hadi leo alasiri kiongozi wao awe amepatikana vinginevyo hali itakuwa mbaya
 Wakati huohuo Serikali ya Zanzibar imepiga marufuku matangazo yote yanayohusiana na kikundi hicho




No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people