Askafu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Dk. Alex Malasusa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar
es Salaam jana, kuhusu kutoa tamko la maaskofu kutokana na kuchomwa kwa
makanisa katika vurugu zilizotokea Mabagala jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Wa pili kushoto ni Katibu wa Mkuu wa Baraza Maaskofu Tanzania, Padri Anton
Makunde na Padri Silvester Gamanywa . |
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people