Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (waliokaa mbele wapili
kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es
Salaam kusisitiza utaratibu wa usajili wa magari ya Umma unafuatwa
na kutafanyika zoezi rasmi la kurejesha usajili wa magari yote.Serikali
imetoa muda hadi kufikia Novemba 15,2012 magari ya Umma yaliyo na
namba za kiraia, yarejeshwe namba stahiki za magari ya Umma . Baada ya
hapo Operesheni hiyo iitakamata magari, pikipiki, bajaj na mitambo ya
umma,Vilevle kutakuwa na aina ya namba za usajili zitakazotumika kama
ST, PT, MT,JW, DFP, CW, SM na ,SU.Hadi sasa serikali imesajili vyombo
vya moto,123,431 yakiwemo magari,,pikipiki,bajaj na mitambo ya umma
(pichani anaefuatia mwenye sare za polisi) ni Mkuu wa kikosi cha
Usalama barabarani katika jeshi la Polisi nchini Kamanda James Mpinga).
(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO). |
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people