Tuesday, October 30, 2012

Polisi yawashikilia watu wanaodhaniwa majambazi ITV



Suleimani Kova kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam akiongea na waandishi wa habari kuhusu watu watano wanaoshukiwa kuwa ni majambazi waliohusika kumuua aliyekuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Liberatus BArlow baada ya kuwakamata

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people