Katibu
Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana akisalimiana na Lowassa. Uwanja wa Ndege
wa Arusha. Kushoto ni Ktb wa CCM Arusha, Mary Chatanda.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto Ktb wa CCM mkoa wa Arusha Mary
Chatanda.
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana akifungua shina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM la Nguruma, Arumeru, Arusha jana
Kikundi cha vijana wa kimasai wakionesha ufundi wao wa kurukaKatibu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimia na wananchi
Vijana wa Chadema waliohamia CCM
Kinana akihutubia wananchi
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people