Tuesday, November 6, 2012

Mashabiki Simba hawawataki Kaseja na Kaburu


Mashabiki wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam wakiwa na mabango mbalimbali kwenye ofisi za klabu hiyo jijini
Mojawapo ya madai yao ni kutomtaka mchezaji Juma Kaseja wakidai ni mamluki

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people