Monday, October 15, 2012

ATCL Waongeza ndege nyingine


Abiria wakishuka na kuingia kwenye ndege aina ya Boeing 737-200 ambay shirika la ndege Tanzania ATCL imeongeza mwaka huu, ndege hii inafanya huduma kati ya Dar es Salaam na Mwanza



No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people