Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi
wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani
Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala
jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita
kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu |
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people