Tuesday, October 9, 2012

Cuf yapata naibu katibu mkuu mpya

Hamad Masoud Hamad ateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) nafasi aliyojiuzuku Ismail Jussa wiki iliyopita

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people