Sunday, October 21, 2012

Dereva aingiza basi mtaroni baada ya kukerwa na nyimbo za CCM



Katibu wa NEC,akimfariji mmoja wa majeruhi waliokuwa kwenye bus ambalo ajali yake imesababishwa makusudi na dereva ambaye aliwaambia yeye Chadema na asingependa kusikia nyimbo za CCM

Basi lililokuwa limewabeba wanachama wa CCM ,linavyoonekana baada ya ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people