Sunday, October 21, 2012

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye Azindua Kampeni za Udiwani Kata ya Nanjara Reha, Rombo ,mkoani Kilimanjaro.



 Nape Nnauye, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi akiweka jiwe la msingi katika ofisi mpya ya CCM ,Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro tarehe 20/10/2012

 Wananchi wa kata ya Nanjara Reha wakimpokea Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye, tayari kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM kwa kiti cha Udiwani.

 Wanachama wakongwe wa chama cha mapinduzi wakionyesha kukubaliana na hotuba ya Katibu wa NEC,itikadi na Uenezi, Nape Moses Nnauye alipowahutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za Diwani wa Kata ya Nanjara Reha, Rombo ,mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people