Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Samwel Sitta akizungumza katika sherehe za kutimiza miaka 67 tangu
kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa (UN) katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam, Sitta aliipongeza Umoja wa Mataifa kwa kuisaidia Tanzania
katika nyanja mbalimbali za maendeleo ili kutokomeza umaskini.Waziri
Sitta alisisitiza kwamba bado Umoja wa Mataifa unakabiliwa na changamoto
nchini kama vile amani na usalama, tatizo la njaa, mabadiliko ya tabia
nchi na uwepo wa silaha za maangamizi.Mh. Sitta alifafanua katika kilele
cha sherehe hizo umuhimu wa kupitia na kusaidia nchi zinazoendelea
kufikia malengo ya millennia |
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people