Jerry Slaa avunja rekodi kwa kupata kura nyingi UVCCM
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry
Silaa (pichani) ameibuka Kidedea na kuvunja rekodi ya Mwaka baada ya
kutetea nafasi yake ya Ujumbe UVCCM kwa kupata kura 501 ambazo ni nyingi
kuliko hata Mwenyekiti katika chaguzi zilizofanyika mjini Dodoma. Na
Mdau Dodoma
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people