Thursday, October 25, 2012

Nape, Mareale na Chami wampigia debe diwani CCM Moshi



  Dr. Cyril Chami akisalimia wananchi wa Kilema ya Kusini wakati wa uzinduzi wa kampeni za kiti cha udiwani.

Kinamama wakishangilia

 Aggrey Mareale, mjumbe wa NEC Moshi mjini akiwaambia wana kilema ya kusini waunganishe nguvu kwa ajili ya maendeleo yao.

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people