Tuesday, October 16, 2012

Rais Jakaya Kikwete awasili Muscat Oman kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku tatu

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said wakipokea heshima za viongozi muda muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili jijini Muscat Oman leo mchana kwa ziara rasmi(State Visit) ya siku tatu nchini Oman.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri la Sultani jijini Muscat leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people