Wazee mbalimbali waliojitokeza
Ufunguzi rasmi wa Arusha kuwa jiji
Kikwete akisalimiana na meya wa Arusha
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiwa
ameketi bega kwa bega na Mama Mary Chatanda katika Uwanja wa Sheikh
Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa
kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo wa kuwa mkaazi
wa heshima wa Arusha toka kwa Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence
Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji
huo wa kitalii kuwa jiji
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people