Thursday, November 15, 2012
IKULU:RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAKUTANA NA VIONGOZI WA MATAWI YA CCM UGHAIBUNI (DIASPORA) MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete
wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni
(Diaspora) waliowaalika kwa chakula cha mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma
Jumatano Novemba 14, 2012. Viongozi hao kutoka Marekani, Italy, India,
Uingereza Afrika kusini na India walihudhuria katika Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM uliomalizika juzi Kizota.Picha na IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people