Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisindikizwa na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kutoka katika eneo la sherehe za
uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo
la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama
wilayani hai leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongezza Mbunge
wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe
Freeman Mbowe kwa hotuba nzuri ya kumkaribisha na kumsifia kwa kazi
anayofanya katika maendeleo ya miundombinu nchini katika eneo la sherehe
za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa
Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe
Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika picha ya pamoja na
viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya uzinduzi wa ujenzi
wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people