Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mbunge wa Rombo
Mhe Joseph Selasini kukunjua pazia kama ishara ya kufungua rasmi wa
barabara ya KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012
kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mbunge wa Rombo Mhe
Joseph Selasin katika hafla ya ufunguzi rasmi wa barabara ya KM32
kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea,
wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kabla ya kufungua rasmi
wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012
kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people