Rais
Jakaya Kikwete akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi,
kinachomilikiwa na Umoja wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda
wakati amkaribisha kufungua kiwanda cha kusindika Tangawizi.
Rais
Jakaya Kikwete akifungua rasmi kiwanda cha kusindika tangawizi katika
Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same mkoani Kilimanjaro
juzi. Kushoto ni Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kimnachomilikiwa na
Umoja wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda na Kulia ni
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela ambaye
amefanikisha ujenzi wa kiwanda hicho kwa asilimia kubwa.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kufungua rasmi lango kuu la Kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment
This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people