Tuesday, November 6, 2012

Raisi azindua miradi ya barabara Manyoni-Itigi-Chanya na Issuna-Manyoni

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida leo
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua  ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida leo. Pembeni yake kulia ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli

Sehemu ya barabara mpya iliyozinduliwa na Rais Kikwete mkoani Manyara



No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people