Wednesday, December 12, 2012

CRDB Yaingia Burundi


Rais wa Burundi Mheshimiwa Piere Nkurunziza akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB Tully Esther Mwambapa alipokuwa akiwasili katika sherehe hizo.

Rais wa Burundi Piere Nkurunziza akiwasili katika sherehe za ufunguzi rasmi wa Benki ya CRDB jijini Bujumbura, Burundi. Benki ya CRDB imekuwa Benki ya kwanza ya kizalendo kufungua tawi lake nchini Burundi
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB nchini Burundi wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzano kutoka Dar es Salaam.
Rais wa Burundi, Mheshimiwa Piere Nkurunziza akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Benki ya CRDB nchini Burundi Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei.
Rais wa Burundi Mheshimiwa Piere Nkurunziza akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Burundi Dk. James Nzagi (Kushoto) na Katibu wa Benki hiyo Bwana John Rugambo (wa pili kushoto) na Meneja Mkuu wa Benki ya CRDB Nchini Burundi Bw. Bruce Mwile.
Jengo la Benki ya CRDB Burundi.Picha zote kwa hisani ya Dar es Salaam Yetu Blog na This Day Magazine

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people