Wednesday, December 12, 2012

Watumishi watano wa shule ya Scolastica Moshi wapata ajali mbaya na kufariki

 
 
Picha zote ni gari aina ya Toyota Hiace lenye namba T 771 AQD mali ya Shule ya Sekondari ya Scolastica ambalo lilipata ajali Desemba 10 eneo la kona ya Mto Kikavu iliyopo  Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanajro na kuuwa watumishi watano wa shule hiyo baada ya kugongana na lori. Picha na Rodrick Mushi.

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people