Thursday, December 20, 2012

Polisi Dar yaunda jopo la wapelelezi kuchunguza tuhuma za polisi kugawana Tsh.150m za tukio la ujambazi Kariakoo.




Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Suleiman Kova (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo kufuatia sakata la kutojulikana zilipo fedha taslimu shilingi milioni 150 zinazohusiana na tukio la ujambazi la kariakoo pia mafanikio ya msako unaoendelea na taarifa za matukio mengineyo ikiwemo vifo. Kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni ACP Charles Kenyela.
Baadhi ya risasi 200 za bunduki ya SMG zilizokamatwa maeneo ya Kimara Mwisho baada ya watuhumiwa kutupa begi na kukimbia kwa pikipiki.

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people