Sunday, October 21, 2012

Jezi mpya za timu ya Mpira wa Miguu Yanga

Vodacom ikikabidhi jezi kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (katikati)

 Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Simu za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi badala ya jeundu.

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people