Sunday, October 21, 2012

Sophia Simba na Asha Bakari Khamis Waibuka Kidedea Uchaguzi wa UWT



   WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia bbaada ya kutangazwa jina la Mwenyekiti mpya wa Umoja huo Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha Bakari katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma  usiku wa kuakia leo

   MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitoa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma na kumchangua Mwenyekiti Mpya Sophia Simba

No comments:

Post a Comment

This is a public viewable website, post something that is not harmful to other people